VIVUMISHI (V)
Kivumishinineno au kikundi cha manenokinachotoamaelezo Zaidi juuyanomino
au kiwakilishi. Huyuni Hodari, viatuvizurivimepotea.
AINA ZA VIVUMISHI
·
Vivumishivioneshi;
hivinivivumishivinavyoneshamahali au sehemu. Pia hutegemeaumbali au ukaribu.
Mfanomtotoyuleanalia ,nyumbahizizimebomoka, mahalihapanipazuri
·
Vivumishiviulizi
;hivinivivumishivinavyoulizamaswalikuhusianananomino. Mfanowanafunziwangapiwamekuja,
nyumbaipiimebomoka, sababuganiimemuondoa.
·
Vivumishivimilikishi;
hivihuoneshaumilikiwanomino au kiwakilishi. Mfanokitichakokimeibiwa,
vikombevyaovimebanjika, huyuni dada yetu.
·
Vivumishivyapekee; hivinivivumishivinavyovumishanominokwakuoneshaupekeewanominoiliyotajwa.
Mfanomtuyoyoteatakusaidia, wazeewenginewanafurahisha, mkobawenyewendiohuu.
·
Vivumishivyaidadi;
hivinivivumishivinavyovumishanomino au kiwakilishikwakutajaidadi. Mfanomikobamiwiliimepotea,
wanafunzikwamaelfuwamewasili.
·
Vivumishivyasifa;
nivivumishivinavyovumishasifayanomino au kiwakilishikatikatungo. Mfanovitivibayavimetupwa,
mtimrefuumeanguka, kalamunyekunduimepotea.
No comments:
Post a Comment