VIUNGANISHI
(U)
Ni neno au kifungu cha
maneno chenye kuunganisha vipashio viwili vya lugha vyenye hadhi sawa. Pia
kiunganishi huweza kuunganisha neno na neno, kirai na kirai, kishazi na kishazi,
sentensi na sentensi. Mfano wa viunganishi pia,na,pamoja,kwa vile, kwa kuwa,lakini,
kinyume na ,japo kuwa,ingawa,iwapo,hadi,ikiwa nk.
No comments:
Post a Comment