VIWAKILISHI(W)
Ni
manenoyanayokabadalayanomino/jina.
Aina za viwakilishi
a. Viwakilishivioneshi;
niviwakilishiambavyohuoneshaukaribunaumbaliwakitu au jambo. Mfanohuyu , yule,
kule, humu, hapo. Mfanohuyusimwezetu, kulehakufai.
b. Viwakilishivyanafsi;
hivuhuelezanafsimbalimbali za wazungunzaji .mfanoyeye, sisi, nyinyi,wao,wewenk.
c. Viwakilishivyakuuliza;
hiviniviwakilishiambavyohuulizamaswali. Mfanowangapiwamekuja?,kipikimekosewa?
d. Viwakilishivyaidadi;
viwakilishihivihutumiaidadikuelezeanomino. Mfanochache, nyingi, kadhaa,
wastani.
Viwakilishivimilikishi; hiviniviwakilishiambavyohuoneshaumilikiwakitu
au jambo. Mfanochangu, chenu, chao, kwao. Mfanokwanguhaingimgeni
No comments:
Post a Comment